Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Yaani haujashika hata chaki haujaanza hata kuandika wanafunzi hawajakuelewa kuwa unafundisha vibaya au vizuri unaanza kujisifu tu mm ninajua kufundisha bila hata kusolve hata swali moja.
Nawashauri waalimu mnapotaka kuleta ushawishi wa namna yenu ya kufundisha fundisheni tu kwa juhudi na maarifa afu waacheni wanafunzi waamue wenyewe na msiwakataze kulalamika kwamba hawaelewi.
Wanaweza wakawa wanakutaka ufundishe kama mwalimu wa Physics wa zamani.
Unaweza ukaamua kufundisha kwa njia zako kwanza haziko kwenye mtaala hazina mvuto na wanafunzi hawazielewi na zitawafanya waffling na shule yako kuwa ya mwisho kitaifa wanafunzi wakimwambia mwalimu afundishe kwa ustadi mkubwa afanye hivyo.