Nilipokuwa Vakesheni hili lilinikwaza

Nilipokuwa Vakesheni hili lilinikwaza

Daily....jamaa akizimika tu....nilkuwa nahakikisha chupa mbili za CUTTY SARK ziko standby....nilibeba na dawa moja ya mahaba inaitwa MGUGUNA

Da! siku ukija vekesheni home kwangu utarudishwa ukiwa kwenye jeneza.
 
Nilienda kumega vya watu homeground.......kama sio dirisha kukosa grili ingekuwa mengine

Inaonekana Mzoefu kaka. Angalia usizoee sana kula vya watu. Maana siku ya siku utajikuta mahala bayana. siku hizi mijamaa inafanya kweli kwa kukugeuzia kibao *******
 
duh....basi iko kazi
..Manka anavutia kwa kweli..hiyo ngozi iko nyororooo anapakaa mafuta ya nazi nini?? dhani hata huyo John Mtembezi ndio maaana akakolea na hizo water melon lazima utulie. mambo mengine unavumilia tu!!
 
..Manka anavutia kwa kweli..hiyo ngozi iko nyororooo anapakaa mafuta ya nazi nini?? dhani hata huyo John Mtembezi ndio maaana akakolea na hizo water melon lazima utulie. mambo mengine unavumilia tu!!

4452451715_5bf70543c7.jpg
 
Sijui ni uchakachuaji au kweli jamaa kapita hapa

big-foot-steve.jpg

Uchakachuaji mwingine bwana!
Nyayo za mataili ya hako katoroli ziko wapi? kivuli cha katoroli na cha huyo bwana madevu mbuna vianatofautiana? au kila kimoja kina angazwa namwangaza wa jua tofauti?
 
Back
Top Bottom