Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Siyo muchezo.......alikuwa kakosa mavituz ya ki home
ulimpatia sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo muchezo.......alikuwa kakosa mavituz ya ki home
ulimpatia sasa?
Daily....jamaa akizimika tu....nilkuwa nahakikisha chupa mbili za CUTTY SARK ziko standby....nilibeba na dawa moja ya mahaba inaitwa MGUGUNA
Da! siku ukija vekesheni home kwangu utarudishwa ukiwa kwenye jeneza.
Ndio maana siji tokea nilipoponea tundu la sindano Rwamishenyi 2006
aaahhhaaah walikupa chimpumu nini? l.o.l
Nilienda kumega vya watu homeground.......kama sio dirisha kukosa grili ingekuwa mengine
Inaonekana Mzoefu kaka. Angalia usizoee sana kula vya watu. Maana siku ya siku utajikuta mahala bayana. siku hizi mijamaa inafanya kweli kwa kukugeuzia kibao *******
..Manka anavutia kwa kweli..hiyo ngozi iko nyororooo anapakaa mafuta ya nazi nini?? dhani hata huyo John Mtembezi ndio maaana akakolea na hizo water melon lazima utulie. mambo mengine unavumilia tu!!duh....basi iko kazi
..Manka anavutia kwa kweli..hiyo ngozi iko nyororooo anapakaa mafuta ya nazi nini?? dhani hata huyo John Mtembezi ndio maaana akakolea na hizo water melon lazima utulie. mambo mengine unavumilia tu!!
Sijui ni uchakachuaji au kweli jamaa kapita hapa
![]()
Cancun Beach...huyo ni frendi nilimuokota huko akitoka Sweden
duh! zis is big fut a.k.a shetani