Nilipomwambia nina hamu na yeye tu, akabadili zamu!

Unachekesha sana, yaani umpige chini kisa hakuja kukupa K siku hiyo?? Ulikuwa umekunywa viagra kabisa nini mzee! Kifupi kosa ni ndogo sana ukilinganisha na adhabu ya kumpiga! Siyo fair ukifanya hivyo, unless ugundue mambo mengine zaidi mabaya.
 
Mbona hiyo sio sababu ya msingi? Kama umemchoka Ina Tacitus za au sawa nimekuelewa......
 

Mpotezee huyo mshamba, anamambo ya kizamani huyo!
 
Khaaaaaa. Huna msamaha wala Subira...... Mapenzi ya sasa..... Matamu, kidogo tu unapigwa chini.
 
Atakua alienda kumegwa na jamaa mwingine hana lolote uyo,shift zina ratiba yake maalum
 
panga appointment nyingine, kama atazingua jua tayari kaona kichwa kipya...so piga chiini...
 

mweh!!! Huo ushaur au wampotosha mwenzio?
 
mpige chini ata zoea kukurusha! kwanza hiyo ni chakula ya mtu! kusoma hujui ata picha huoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…