Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina dem wangu ni nesi,mara zote shift zake zote ananiambia na tulikuwa tunakwenda samba. Hapa kati akaanza kunipa ratiba isoeleweka. Juzi nilipanga kukutana nae eneo letu tulilozowea na nikamsisitiza kuwa nina hamu nae akitoka saa 9 jioni ile kumwambia vile tu toka asubuhi cm yake haikuwa hewani! Mi jioni nikaenda eneo la tukio hola hakuja! Nikampigia cm akasema ndo kaingia shift ya jioni na akadai eti alipitiwa kunijulisha! Nimepanga kumpiga chini ushauri unatakiwa plz!
Ralphryder
Labda nianze kwa kuuliza . Mkuu are u upset because u were not informed of the changes,kabla ya kwenda kwenye tukio au with the fact that the shift was changed at all?
If its for the later, then forgive me for saying this maana u like kama mtoto mdogo anaendekeza ukame badala ya ..................................Si utafute wadada poa!!??