Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Wakuu,
Hofu ilikuwa imetanda ktk maisha yangu ,kila nikikutana na dada wa watu naishia dk 10 namaliza na matokeo yake ananiambia nimemchafua
Hakika nilidhani Nina upungufu wa nguvu za kiume,nilipanga kuwaambia wazazi nyumbani waanze kunitibisha lakini nafsi ilikataa katakata š
Baada ya kuoa Hali imebadilika nahimili bao tatu na asubuhi naamkia pia,sijatumia dawa yeyote wakuu,
Nimekuja kugundua kuwa nguvu za kiume ni saikolojia na uzoefuš¤Kama haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara basi hata ile nguvu ya kuhimili mikiki ya ligi ya kitandani ni ngumu Sana dak5 hoi bin taabani
Wakuu,katu usijihisi huna nguvu za kiume badala yake oeni na najua mtathibitisha hili ninalozungumza hapa
Cc: Binti Sayuni03
Mallerina
SweetyCandy
Nomadix
mzabzab