kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ananipa taarifa mimi kama mdogo wa mkewe😁😁Ndio umeona Sasa umtag Binti sayuni 03🤔

Kila siku unaipiga bao 3 si utaichakaza sasaWakuu,
Hofu ilikuwa imetanda ktk maisha yangu ,kila nikikutana na dada wa watu naishia dk 10 namaliza na matokeo yake ananiambia nimemchafua
Hakika nilidhani Nina upungufu wa nguvu za kiume,nilipanga kuwaambia wazazi nyumbani waanze kunitibisha lakini nafsi ilikataa katakata 🏃
Baada ya kuoa Hali imebadilika nahimili bao tatu na asubuhi naamkia pia,sijatumia dawa yeyote wakuu,
Nimekuja kugundua kuwa nguvu za kiume ni saikolojia na uzoefu🤝Kama haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara basi hata ile nguvu ya kuhimili mikiki ya ligi ya kitandani ni ngumu Sana dak5 hoi bin taabani
Wakuu,katu usijihisi huna nguvu za kiume badala yake oeni na najua mtathibitisha hili ninalozungumza hapa
Cc: Binti Sayuni03
Mallerina
SweetyCandy
Nomadix
mzabzab
Kwa hiyo wewe Binti Sayuni03 mpenz wako huwa anakupiga bao ngapiKila siku unaipiga bao 3 si utaichakaza sasa
😁😁swali zuri sana ngoja nianze kucountKwa hiyo wewe Binti Sayuni03 mpenz wako huwa anakupiga bao ngapi
Ndiyo tupo tunakiwasha😁😁Uanze kuhesabu? Kwani Sasa upo kwa bed????
Umetag watu ambao hawana nguvu za kiume au ndo walikuona huna nguvu za kiume?Wakuu,
Hofu ilikuwa imetanda ktk maisha yangu ,kila nikikutana na dada wa watu naishia dk 10 namaliza na matokeo yake ananiambia nimemchafua
Hakika nilidhani Nina upungufu wa nguvu za kiume,nilipanga kuwaambia wazazi nyumbani waanze kunitibisha lakini nafsi ilikataa katakata 🏃
Baada ya kuoa Hali imebadilika nahimili bao tatu na asubuhi naamkia pia,sijatumia dawa yeyote wakuu,
Nimekuja kugundua kuwa nguvu za kiume ni saikolojia na uzoefu🤝Kama haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara basi hata ile nguvu ya kuhimili mikiki ya ligi ya kitandani ni ngumu Sana dak5 hoi bin taabani
Wakuu,katu usijihisi huna nguvu za kiume badala yake oeni na najua mtathibitisha hili ninalozungumza hapa
Cc: Binti Sayuni03
Mallerina
SweetyCandy
Nomadix
mzabzab
Wewe unaweza kujidhalilisha😁😁Bila picha ama video unafikri nitaamini? Weka video bhana
Si ni ushahidi jamani Binti Sayuni03 ?Wewe unaweza kujidhalilisha😁😁
Akhuuuuuu😁😁🙌Si ni ushahidi jamani Binti Sayuni03 ?
Nje ya mada,nimeku pm lakini sioni ushirikiano wako Binti Sayuni03Akhuuuuuu😁😁🙌
Naogopa kuchat na waume za watuNje ya mada,nimeku pm lakini sioni ushirikiano wako Binti Sayuni03
Ok. Watakuja kujibuHao ni miongoni mwa mabinti niliokuwa wananiambia nimewachafua na Nomadix ni Kaka yangu niliyekuwa namweleza tatizo langu
Mkeo ana mtu au yupo single?Wakuu,
Hofu ilikuwa imetanda ktk maisha yangu ,kila nikikutana na dada wa watu naishia dk 10 namaliza na matokeo yake ananiambia nimemchafua
Hakika nilidhani Nina upungufu wa nguvu za kiume,nilipanga kuwaambia wazazi nyumbani waanze kunitibisha lakini nafsi ilikataa katakata 🏃
Baada ya kuoa Hali imebadilika nahimili bao tatu na asubuhi naamkia pia,sijatumia dawa yeyote wakuu,
Nimekuja kugundua kuwa nguvu za kiume ni saikolojia na uzoefu🤝Kama haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara basi hata ile nguvu ya kuhimili mikiki ya ligi ya kitandani ni ngumu Sana dak5 hoi bin taabani
Wakuu,katu usijihisi huna nguvu za kiume badala yake oeni na najua mtathibitisha hili ninalozungumza hapa
Cc: Binti Sayuni03
Mallerina
SweetyCandy
Nomadix
mzabzab
Kwamba dada Ako Sasa anapelekewa moto 24/7!?Ananipa taarifa mimi kama mdogo wa mkewe😁😁