Nilipooa suala la upungufu wa nguvu za kiume nalisikia tu kwenye radio

Kila siku unaipiga bao 3 si utaichakaza sasa
 
Umetag watu ambao hawana nguvu za kiume au ndo walikuona huna nguvu za kiume?
 
Mbona inaeleweka kama huwa hufanyi warmup mara kwa mara kwenye mechi huwezi kumaliza dakika 90 , lazima ucheze dakika chache chache
 
Mkeo ana mtu au yupo single?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ