Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

Kumbe umepanga na wanafunzi halafu unasimanga walimu
 
Wee jamaa hovyo,majigambo yote hayo kumbe bado haujahenga😳.Hela zote ambazo huwa unajigamba kwamba unazo huwa unapeleka wapi?
 
Kwani nyie walimu kuna kitu mnajua kweli? Wenzio wapo kazini hapo.
 

Si bora wadada hao. Mimi nimepita karibu na hostel ya chuo flani wakaka na ndevu zao makelele, tap tap screen. Ingekuwa enzi za mwalimu ningechukua fimbo niwacharaze na nisishitakiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…