Kitagata
New Member
- Nov 24, 2020
- 2
- 1
Yesu azidi kutupa Neema ya kupambanua maono na kukataa matamanio ya mwili au matamanio yanayoua vipawa ndani yetu. Ninakushauri fanya sara ya toba ikifungamana na mafungo hata maandiko matakatifu yanasema hakuna maombi yenye nguvu kama yanayoambatana na mafungo. Mungu akupe ukombozi mpya