GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijaona chochote cha maana katika andishi lako. Ni speculations tu ambazo yeyote aweza kuwa nazo kutokana na pressure ya mashabiki na kiu ya kusonga mbele ktk mashindano ya kimataifa.Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo ( Simba na Yanga ) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi...
Sasa hapo hujaelewa nini? Yeye kasema kwa maoni yake ametabiri kufurushwa Nabi kutokana na Pressure ya mashabiki kuhusu mwendo wa timu hasa mechi za Kimataifa.Sijaona chochote cha maana katika andishi lako. Ni speculations tu ambazo yeyote aweza kuwa nazo kutokana na pressure ya mashabiki na kiu ya kusonga mbele ktk mashindano ya kimataifa...
Pick the exact date unachofanya ni ramli bwana koloNilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama...
Ngoma haipoi wala haituliiNilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ...
Sasa kule Tunisia wataenda kumpigia makofi dakika ya ngapi..?Utaambiwa yupo sana
Kwamba Mayele...???Timu haina mshambuliaji thabiti afu kosa linakuwa la kocha,wakimfukuza watakuwa mapimbi
WANATAKIWA WAWE NA MAYELE KAMA WAWILI NA SIO KUTEGEMEA MTU MMOJAKwamba Mayele...???