Soma sentensi ya kwanza ya aya ya pili ya mleta mada utaelewa kwanini nimeandika nilivyo andika.Sasa hapo hujaelewa nini? Yeye kasema kwa maoni yake ametabiri kufurushwa Nabi kutokana na Pressure ya mashabiki kuhusu mwendo wa timu hasa mechi za Kimataifa.
Mbona ulichoandika wewe na hizo hisia za mashabiki ni kitu kimoja ambacho ameandika mtoa mada..!