Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

Soma sentensi ya kwanza ya aya ya pili ya mleta mada utaelewa kwanini nimeandika nilivyo andika.
 
NABI yupo sanaaa!!
 
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Nimesikitika kuwa umechelewa kujua kuwa GENTAMYCINE nachukiwa na sieleweki na Wapumbavu Wengi walioko hapa akiwemo huyo Uliyemjibu na hao Watu Watatu waliompa 'Likes' hapo.

Cc: malantu, nguvu, tracebongo, koba lee etc
 
Genta kazini...nakubali mkuu,mi nilileta uzi wa nabi kuishiwa mbinu kina Tate Mkuu na redio wakanijia juu...NASISITIZA TENA NABI SIO KOCHA WA MICHUANO MIKUBWA HAYA MASHINDANO NI YA KINA IBENGE
 
Sasa itakuwaje Aziz K , Morrison na Kisinda...maana waliletwa hapo utopolono kwa ajili ya International game...

Naona huruma sana
Kuna mapinduzi cup January, ni kimataifa kwao Uto kwenda Zenji.
 
Kila siku morisson na aucho wanatukanana!?
 
Genta kazini...nakubali mkuu,mi nilileta uzi wa nabi kuishiwa mbinu kina Tate Mkuu na redio wakanijia juu...NASISITIZA TENA NABI SIO KOCHA WA MICHUANO MIKUBWA HAYA MASHINDANO NI YA KINA IBENGE
Naona umenitajia the so called Senior and authentic Morons hapa Jamvini Mkuu. Heko Kwako.
 
Pilipili ale mwingine kuwashwa awashwe mwingine inawezekana kweli hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…