Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

Pole kwa yaliyokusibu na hongera sana kwa kupambana,
Ila bado una deni la yule boda uliyemsababishia mauti kwa haraka zako
 
Daaaah!!!! Happy ending broh!!! Mungu fundi mnoo
Wema unalipwa japo kwa kuchelewa
 
Story yako inaweza ikawa ya kweli ila kwa kipindi hicho dollar ilikuwa ni kati 1,460 hadi 1,500 ila mwaka huo haikufika 1,600.

Nimekumbuka kwa kuwa mwaka huo nilikuwa nafanya kazi na kampuni fulani la nje tulikuwa tunalipwa kwa dollars. Kwahiyo kwenye kuchenji dollars 3000 usingeweza kupata hata 5,000, 000.

Nashukuru kwa kutenga muda wako na kutusimulia kuna kitu tunaweza kujifunza kama binadamu, tukiacha tu kwenye sehemu ya kubadili pesa kwa kipindi hicho..
 

Story kali sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…