Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

Nikweli mkuu nimekisia tu idadi ya zile dolar maana ni muda mrefu sana ila
Pole na hongera sana mkuu.

Ila sasa na hao wenye uwezo waliokusaidia, ndugu yao m3 ilitaka kumfanya kichaa? Mpaka akazimia? Kweli maisha ni fumbo.
Hata yeye alibaki kushangaa tu maana anawajua ndugu zake hawana desturi ya kusaidia kabisa. Alijua watanipoza tu hela ya pole. Lakini ni miujiza ya mungu tu
 
Nikweli mkuu nimekisia tu idadi ya zile dollar maana ni muda mrefu lakini baada ya kubadili ilitoka mil6.43
 
Mkuu umeua sana japo baadhi ya matukio hayapo na uhalisia wa mazingira yenyewe salute
Ni kweli mkuu ni ngumu kuamini lakini amini kwamba tukio hili lilinibadili sana maisha na niliacha upuuzi wote maana niliamini Mungu yupo. Ni ngumu kuamini kiukweli lakini ni stori ya maisha yangu.
 
Nikweli mkuu nimekisia tu idadi ya zile dollar maana ni muda mrefu lakini baada ya kubadili ilitoka mil6.43kusahau pia ni sehemu

Nikweli mkuu nimekisia tu idadi ya zile dollar maana ni muda mrefu lakini baada ya kubadili ilitoka mil6.43
Kusahau ni sehemu ya ubinadamu.
Wema kwa asilimia kubwa unalipa hata kama sio moja kwa moja
 
Wema hauozi
 
Dah! Noma sana yani
 
Ama kwa hakika kabisa wema hauozi, unapopanda mbegu ya wema itazaa kuanzia kizazi chako cha sasa mpaka kizazi chako cha nne, MUNGU WETU AENDELEE KUKUBARIKI.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
The true definition kuwa hukuonyesha roho ya kimasikini. Unaweza kuwa huna kitu ila ukamilifu wako ukawa kila kitu na ukakupa thamani kubwa..
 
Hongera Sana comred kwa Hilo.
Mungu alikuwa na wewe kipindi chote hata wakati wa kupotea kwa pesa, namshukuru Mungu pamoja na wewe.

Ila swala la uti wa mgongo kupona kwangu ni maajabu, Kumbe hospital za kutibu zipo ? Binafsi ni mtu wa afya nishashuhudia watu wengi wakishapa shida kwenye uti wa mgongo ndo basi Tena.

Nazitafuta Sana hata jina tu la hiyo hospitali maana nishakutana na watu wa shida hyo Sina Cha kuwaelekeza Zaid ya kuwapa pole tu.

Naomba kujua jina la hiyo hospital hapo Kenya
 
Ubarikiwe
 
Tatizo langu lilikuwa ni stable na siku paralize uti wa mgongo haukuvunjika kiasi cha kukata mawasiliano, ilikuwa ni kama nyufanyufa katika uti wa mgongo hivyo nilivalishwa mkanda, mazoezi na dawa tu. Japo ilinichua miaka kufikia hatua ya kutembea kawaida japo mpaka leo sifanyi kazi ngumu. Hospitali inaitwa National referal spinal hospital/clinic jina ni refu ila nadhani nimelipatia.
 
Kisa chako kina funzo kubwa sana kwa maisha ya binadamu.Ulitenda lililo jema.Kuna siku nilikuwa mtwara mjini kalibu na jengo la bodi ya korosho Ni karibu tu na kabisa katoliki Jimbo kuu la mtwara ulikuwa majira ya saa mbili hivi usiku naelekea nyumbani nilizikuta pesa nyingi njiani na kwa haraka nikijuua zitakuwa zimedondoshwa nikipita pembeni nikaziacha.(maana toka nakua nilikatazwa katukatu kuokota kitu).Mda mfupi baade nilipishana na jamaa akawa Ana hamaki kwelikweli nikagundua Ni yeye mhusika na Mara baada ya kufika naeneo hayo alisimama ,nikagundua amepata haki yake.Cha msingi hapa Ni kuwa husichukue kitu au Mali hisiyo yako na apo Ndo baraka huanzia.Hongera wazazi wako walikulea vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…