Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

Hongera sana,wewe ndio umethibitisha kwamba kweli wema unalipa ila kama kawaida wema hulipwi kizembe ni baada ya gharama kubwa..

Nimejigunza kitu,sio sawa kudhulumu maana utalipwa sawsawa na matendo Yako,big up sana..

Mwisho sio lazima unaemtendea wema ndio akulipe huyo huyo anaweza hata asijali ila Mungu akamleta mtu mwingine kabisa..
 
Pole na hongera sana mkuu.

Ila sasa na hao wenye uwezo waliokusaidia, ndugu yao m3 ilitaka kumfanya kichaa? Mpaka akazimia? Kweli maisha ni fumbo.
Of course,unaweza Kuta kikichofanya wao matajiri pengine wasitoe Msaada Kwa ndugu Yao wa mil.3 ni kwamba Wao wanamfahamu zaidi kuliko sie wengine kwenye mambo Yao ya familia.nk huwezi jua.

So kilichowagusa ni wema tuu wa huyo agent Kwa ndugu Yao.
 
Kuuongopea umma kwa faida gani mkuu. Lakini naamini ipo siku na wewe pia mungu atagusa maisha yako kwa namna moja au nyingine na usisite kutuletea uzi humu kwa kuhofia watu watauita chai. Muhimu ujumbe umefika so wa kuamini na aamini.
 
Ni kweli mkuu huwezi jua mwenye pesa hiyo alikuwa na shida gani. Muda mwingine tunajitafutia laana zisizo na ulazima
 
Dah nimependa hii nice
 
National Spinal Injury Referral Hospital?
 
Pole na hongera sana mkuu.

Ila sasa na hao wenye uwezo waliokusaidia, ndugu yao m3 ilitaka kumfanya kichaa? Mpaka akazimia? Kweli maisha ni fumbo.
Kabisa yaani ndugu wenye hela husaidiaga watu baki
 
Nimekuwa mtu wa 100 ku-like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…