Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

Pole kwa mitihani na hongera kwa moyo wako wa usamaria, kuna kipindi Mungu anatujaribu kutupima imani zetu, hapa nawaza tu kwa sauti kuna lifundi nililipa PC yangu ilizingua hata kuitengeneza tu hakutengeneza alichofanya katoa hard disk kaweka mbovu kabisa akaona haitoshi akang'oa na sensa yake kunikomesha kabisa
 
Asante kwa funzo
 
Watu kama hao hubaki kuwa mafundi miaka nenda rudi no progress
 
Inaweza kua fiction lakini imenigusa sana
 
Enheee
 
Chai
 
Mwenyezi Mungu ndiye aijuae hatma ya Maisha ya kila mwanadamu. Kila mwanadamu huwa na kipimo chake cha Imani na uaminifu Kwa muumba wake, shida ni tamaa na ubinafsi(kutaka kujimilikisha) ndio sababu kubwa Sisi wanadamu kufeli mtihani huo.

Wewe mshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa kuushinda mtihani huo na ukafaulu Kwa alama kubwa. Ni wachache Sana wa kurudisha milioni 3 hasa Katika ulimwengu huu uliojaa laana, tamaa na ujambazi.

Tazama, ulirejesha kiasi hicho cha fedha na ukalipwa mara 100, yani matibabu ambayo pengine yaligharimu zaidi ya milioni 50 huko na ukapewa tena fedha zakujikimu kimaisha.

Umelipwa mara 100 ya hicho kiasi ulichokirudisha.

Hongera Sana kwa ujasri ulioufanya na maamuzi sahihi,kumbe bado wanadamu wema wapo Katika dunia hii.

Mwenyezi Mungu na akujaalie maisha marefu zaidi hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…