Nilisahau pesa kwenye atm NMB Branch usalama magomeni

Nilisahau pesa kwenye atm NMB Branch usalama magomeni

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Wee jamaa nyosooo aiseee.... Umeitumia fursa
 
Mkuu msongo wa mawazo au ulikuwa tila lila??

Pole sana,Sema jamaa aliepata mstaarabu alikuwa anakutafuta,

Na pia wewe unaweza kuwa mmoja wa wale walinzi,baada wa kuona uzi wa jamaa umeamua kutake fursa(mawazo tu)

Kila la kheri
Sio hiyo, nimeucheki huo. Mimi ni laki moja, round ya kwanza nilitoa laki NNE, round ya pili laki moja, ndiyo niliyoisahau
 
I thougt huu uzi ungetangulia kabla ya ule wa alie okota
 
Mkuu kusahau hela kisa stress duuh.. unazo nyingi
 
so simple, nenda kaombe uongozi wa benki hiyo wakuonyeshe cctv iliyorekodi siku hiyo. Mtu wako utamjua. Kama kweli una shida na hiyo hela basi utafanya hivyo ila kana hauna shida nayo basi samehe.
 
Duh mangi akikusikia unasahau pesa atakutoboa na bisibisi. Pole lkn naifananisha na kupewa game na mtoto mkali halafu unalala kabla hata ya Kula mzigo
 
Aliyechukua hiyo laki moja ingekuwa vyema anirudishie. Ni nyongeza ya ada ya mtoto
 
Nenda benki husika. Mtu aliyekuja kuchukua baada yako ataonekana kwenye camera, Na Kama alitoa hela basi ni Kama kukamata kuku.
 
Je nawezaje kuipata hiyo hela. Siwezi kuomba CCTV camera za pale, baada ya kutoka mm ATM aliingia nani, maana dah
Kama ni kweli umesahau pesa,

Mahala sahihi ni kwenda Bank penyewe.

Utasema ilkua SAA ngap,Siku gani

Wao wataangalia ni nani aliingia pale ATM baada yako na kufanya muamala.

Itachukuliwa account No yako na kuingizwa kwny mfumo.

Itaangaliwa mawasiliano yake na picha alofungulia account.

Kisha italinganishwa picha yake halisi na picha ya alofata ilotoka kwny CCTV camera za ATM baada ya wewe kuondoka.

Ataitwa na atarudisha iyo pesa na kazi itakua imekwisha.
 
Teh teh....ulisahau hela!!!

Yaani msongo wa mawazo ukasababisha usijue ulichoenda kufuata kwenye ATM!!!!!!!

Only in Tanganyika.
Aliposema alisahau alipitoa mara ya pili mimi nakubaluana nae ni rahisi kusahau kama una msongo wa mawazo, una haraka sana au unaongea na simu.
 
Kama ni kweli umesahau pesa,

Mahala sahihi ni kwenda Bank penyewe.

Utasema ilkua SAA ngap,Siku gani

Wao wataangalia ni nani aliingia pale ATM baada yako na kufanya muamala.

Itachukuliwa account No yako na kuingizwa kwny mfumo.

Itaangaliwa mawasiliano yake na picha alofungulia account.

Kisha italinganishwa picha yake halisi na picha ya alofata ilotoka kwny CCTV camera za ATM baada ya wewe kuondoka.

Ataitwa na atarudisha iyo pesa na kazi itakua imekwisha.
Asante sana, nitalifanyia kazi
 
Je nawezaje kuipata hiyo hela. Siwezi kuomba CCTV camera za pale, baada ya kutoka mm ATM aliingia nani, maana dah

Hilo linawezekana, ila procedure ake hadi iishe unaeza kuta umeambulia elfu tano mia saba badala ya laki moja
 
Back
Top Bottom