Nilisahau pesa kwenye atm NMB Branch usalama magomeni

Nilisahau pesa kwenye atm NMB Branch usalama magomeni

so simple, nenda kaombe uongozi wa benki hiyo wakuonyeshe cctv iliyorekodi siku hiyo. Mtu wako utamjua. Kama kweli una shida na hiyo hela basi utafanya hivyo ila kana hauna shida nayo basi samehe.
Mkuu nikiku-LIKE utani-ADD wapi?
 
Kuna jamaa anakutafuta humu humu Jf
 
Kwa mujibu wa mtafutaji wa aliyeacha hela zake ATM sababu iliyopelekea azisahau ni kulewa maana inaonekana alipiga vyombo sana mpk akasahau sasa wewe kwa sababu yako ya msongo wa mawazo ni dhahiri shahiri siyo wewe

Ila pole sana na upunguze mawazo
huyu kasoma uzi wa zakazaka kisha kaja kutumia nafasi hiyo kujaribu bahati yake.

HAIWEZEKANI upoteze kisha uje kuanzisha uzi. anatafuta public sympathy lau jamaa afanye maanuzi. na hivi kesho tu ndio jumanne
 
Nimeucheki, sio hiyo. Mimi nilitoa laki nne, Mara ya pili nikatoa laki moja, hiyo ndiyo niliyoisahau

wewe kweli msema kweli wewe umetoa hela branch yeye alitoa hela offsite atm, sasa wewe nenda branch pale waelekeze wataenda control room watachek camera wataona alichekukua, trust me nishawah kuwa ATM ENGINEER NAJUA HIYO KITU
 
huyu kasoma uzi wa zakazaka kisha kaja kutumia nafasi hiyo kujaribu bahati yake.

HAIWEZEKANI upoteze kisha uje kuanzisha uzi. anatafuta public sympathy lau jamaa afanye maanuzi. na hivi kesho tu ndio jumanne
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, Mimi niliyosahau ni laki moja, na sio laki NNE, pia sio huko anaposema huyo unayemzungumzia.
 
Back
Top Bottom