Sio hiyo, nimeucheki huo. Mimi ni laki moja, round ya kwanza nilitoa laki NNE, round ya pili laki moja, ndiyo niliyoisahauMkuu msongo wa mawazo au ulikuwa tila lila??
Pole sana,Sema jamaa aliepata mstaarabu alikuwa anakutafuta,
Na pia wewe unaweza kuwa mmoja wa wale walinzi,baada wa kuona uzi wa jamaa umeamua kutake fursa(mawazo tu)
Kila la kheri
Aaaah bhas haina kwele jombaaNimeucheki, sio hiyo. Mimi nilitoa laki nne, Mara ya pili nikatoa laki moja, hiyo ndiyo niliyoisahau
Okay sawa mkuu.Sio hiyo, nimeucheki huo. Mimi ni laki moja, round ya kwanza nilitoa laki NNE, round ya pili laki moja, ndiyo niliyoisahau
Ilikuwa siku ngumu sana kwangu, huwezi amini, ukija pm naweza kuelezea ilikuwajeMkuu kusahau hela kisa stress duuh.. unazo nyingi
Je nawezaje kuipata hiyo hela. Siwezi kuomba CCTV camera za pale, baada ya kutoka mm ATM aliingia nani, maana dahMkuu kusahau hela kisa stress duuh.. unazo nyingi
Ha ha ha ha....Ilikuwa siku ngumu sana kwangu, huwezi amini, ukija pm naweza kuelezea ilikuwaje
Kama ni kweli umesahau pesa,Je nawezaje kuipata hiyo hela. Siwezi kuomba CCTV camera za pale, baada ya kutoka mm ATM aliingia nani, maana dah
Aliposema alisahau alipitoa mara ya pili mimi nakubaluana nae ni rahisi kusahau kama una msongo wa mawazo, una haraka sana au unaongea na simu.Teh teh....ulisahau hela!!!
Yaani msongo wa mawazo ukasababisha usijue ulichoenda kufuata kwenye ATM!!!!!!!
Only in Tanganyika.
Asante sana, nitalifanyia kaziKama ni kweli umesahau pesa,
Mahala sahihi ni kwenda Bank penyewe.
Utasema ilkua SAA ngap,Siku gani
Wao wataangalia ni nani aliingia pale ATM baada yako na kufanya muamala.
Itachukuliwa account No yako na kuingizwa kwny mfumo.
Itaangaliwa mawasiliano yake na picha alofungulia account.
Kisha italinganishwa picha yake halisi na picha ya alofata ilotoka kwny CCTV camera za ATM baada ya wewe kuondoka.
Ataitwa na atarudisha iyo pesa na kazi itakua imekwisha.
Je nawezaje kuipata hiyo hela. Siwezi kuomba CCTV camera za pale, baada ya kutoka mm ATM aliingia nani, maana dah