Hahaaa.. Hii kali ya mwaka.Kama hukuwahi kuzichukua kwenye kile kitobo cha kutolea, hela zinarudi ndani
Labda kuku broiler,Nenda benki husika. Mtu aliyekuja kuchukua baada yako ataonekana kwenye camera, Na Kama alitoa hela basi ni Kama kukamata kuku.
Mkuu nikiku-LIKE utani-ADD wapi?so simple, nenda kaombe uongozi wa benki hiyo wakuonyeshe cctv iliyorekodi siku hiyo. Mtu wako utamjua. Kama kweli una shida na hiyo hela basi utafanya hivyo ila kana hauna shida nayo basi samehe.
huyu kasoma uzi wa zakazaka kisha kaja kutumia nafasi hiyo kujaribu bahati yake.Kwa mujibu wa mtafutaji wa aliyeacha hela zake ATM sababu iliyopelekea azisahau ni kulewa maana inaonekana alipiga vyombo sana mpk akasahau sasa wewe kwa sababu yako ya msongo wa mawazo ni dhahiri shahiri siyo wewe
Ila pole sana na upunguze mawazo
Nimeucheki, sio hiyo. Mimi nilitoa laki nne, Mara ya pili nikatoa laki moja, hiyo ndiyo niliyoisahau
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, Mimi niliyosahau ni laki moja, na sio laki NNE, pia sio huko anaposema huyo unayemzungumzia.huyu kasoma uzi wa zakazaka kisha kaja kutumia nafasi hiyo kujaribu bahati yake.
HAIWEZEKANI upoteze kisha uje kuanzisha uzi. anatafuta public sympathy lau jamaa afanye maanuzi. na hivi kesho tu ndio jumanne