PreGE2025 Nilisema bila Mbowe hakuna Chadema imara, sasa tunashuhudia anguko kubwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
 
Mbowe ameondolewa kidemocrasia
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.
Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Unaota wewe! Zinduka ndotoni!
Chama kipo mikono salama kuliko wakati wowote ule!

Ni afadhali kuoa tasa mwaminifu kuliko mwanamke anaekubambika mtoto ukizani ni wako kumbe ni malaya wa kutupwa
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Utaanguka wewe siyo chadema jidanganye
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Uchawa ni mzigo
 
Hoja hafifu na ya hovyo.
Bila mbowe hakuna chadema imara!! JE MBOWE AKIFA? CHAMA NACHO KINA KUFA?
Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi! KWANI HAWA WALICHAGULIWA NANI?

Kuwaza chadema imara ni pale mbowe akiwa mwenyekiti ni aina ya umaskini wa akili.
Mbowe badala ya kutumia chawa wake, aanzishe chama kingine
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
A condom could have prevented this shithole
 
It is better to die as a freeman than to live as a slave. Let them gooo..njaaa.
 
Kulikuwa hakuna chama imara Cha watanzania,saizi kipo chama imara Cha watanzania.chama kipo imara na kinatetea raia wake wasiuwawe kwenye chaguzi. TUNDU LISU NA HECHE NI WANAUME HASWA
2030 chadema itakuwepo?
 
kwanini isiwepo?, hizo nyakati za mpito tu katika chama.
Hakitashiriki pia uchaguzi serikali ya mitaa 2029.

Hakina Ruzuku yoyote hivyo hela ya kuendesha harakat hazitakuwepo.

Hakina haki ya kufanya kampen yoyote ya kisiasa ndan au nje ya nchi had 2030

Sasa hapa si ni kama Vile vyama vingne 18.

Act wazalendo Ramsi ni chama kikuu cha Upinzan
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche

CCM linapolilia CHADEMA imara ujue:

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg

Na Bado!
 
Siasa za ulaghai hamna tena,za kuchota hela ccm na serikalini halafu mgawane!
 
Back
Top Bottom