PreGE2025 Nilisema bila Mbowe hakuna Chadema imara, sasa tunashuhudia anguko kubwa!

PreGE2025 Nilisema bila Mbowe hakuna Chadema imara, sasa tunashuhudia anguko kubwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nyoooooooo

Migaooooo inekataaaa AIBU ati mnahana chama mngechaguliwa mngehamaa
 
Uchawa ni mzigo

Gombe:

Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Chadema ni zaidi ya Mbowe na alishindwa kwa kura mchana kweuuupe, tunasonga mbele na mabadiliko yatapatikana tuu
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Lini John Mnyika kabwaga manyanga?
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Mbowe before hajatupiwa kesi ya ugaidi. After ile kesi alibadilika nachama hakikufanya progress, ni kama wali stuck, chadema ilihitaji way out even if it means ji kupoteza basdhi ya wanachama
Old relics zalima wafe, suala la kwamba alikipigania kwa jasho si kigezo, alitolewa ki democrasia, si kwa mabav
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Ndo vizuri watengeneze chama upya bora kubaki na watu wawili lakini wanajua nini thamani ya chama kuliko kubaki na mizigo Lissu na heche wanaendelea kuwanyoosha wasaliti wote ndo maana unaona wanaondoka wenyewe kwa aibu
 
Viongozi waandamizi walio kijenga Chama kwa jasho na damu; John Mrwma, John Mnyika, Mwalimu, Kigaiya na Katherine wamebwaga manyanga na wamesema gharika kubwa inakuja.

Tulisema Lisu na Henche hawafai kuwa viongozi sasa ona chama kinapo elekea, kinakufa!!!
Nasema atabaki Lisu na Henche
Unasikitisha sana,ukiniuliza Mimi nitakwambia chadema iko imara sana kuliko kipindi chochote ,kuondoka kwa G55 ndo chama kife!?

Asilimia kubwa watu wanaamini kwa sasa tuna upinzani imara,sio upinzani uchwara wa mbowe
 
Kulikuwa hakuna chama imara Cha watanzania,saizi kipo chama imara Cha watanzania.chama kipo imara na kinatetea raia wake wasiuwawe kwenye chaguzi. TUNDU LISU NA HECHE NI WANAUME HASWA
Chama kinaendeshwa kwa matamko, hakuna vikao.
Zinduka wewe, wenye akili zao wameshtuka.......ondoka usipoteze muda.....
 
Chama kinaendeshwa kwa matamko, hakuna vikao.
Zinduka wewe, wenye akili zao wameshtuka.......ondoka usipoteze muda.....
Vikao vya abduli na wenje, vikao vya salum mwalimu na mkewake.kigaila na mkewake. Watanzania wapiga Kura wanauliwa na mapolisi ktk chaguzi zote nyie hamuwaonei huruma?kusema hatuwezi kuendelea kuwapoteza wapiga Kura wetu ktk chaguzi ni ujinga?

Kila chaguzi zinapofika watu wanauwawa wengi wao wanapinga wizi na dhulma za Ccm.kuiomba serikali zifanye mabadiliko ya Sheria ni kuuwa chama?
 
Siasa za afrika ni zaidi ya kufoka foka majukwaani na kulalamika mitandaoni.Inawezekana kinachoendelea chadema ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa chadema kama chama tishio.Kwasababu chama kimekosa mbinu na wafuasi waliopo zaidi ya kulalmika kuonewa hawana hoja zozote madhubuti zakujenga chama zaidi ya kutukana wenye mawazo tofauti nawao.Ngoja tusuburi muda.
 
Back
Top Bottom