Nilisema na narudia kusema uwanja wa Chamazi sio rafiki kwenu, mtaendelea kuacha pointi hadi mtakaposikiliza ushauri wangu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam lakini Yanga ni kama sehemu yao ya kuokotea point, kwa wanaojua siasa na fitna za mpira, unawezaje kwenda kutumia uwanja ambao wenzako unaoshindana nao wanautumia huo uwanja, azam ss hv anafanya vzr na yanga ndio bingwa wa nchi hii hadi Eng Hersi aondoke pale, mnawezaje nyie kushinda pale Chamazi, azam amekaa juu ya Simba na Leo mnaenda kucheza kwenye uwanja wao eti mnatafuta point, hamuoni mambo yalivyokuwa magumu leo, wamemtumia yule Waziri Junior tangu akiwa Mbao FC amekuwa mshika nyota dhidi ya Simba, kwanini mnatuumiza roho zetu lakini.
 
"kwanini mnatuumiza roho zetu lakini."

Hapa umeongea kwa uchungu mkuu nimekuonea hadi huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam lakini Yanga ni kama sehemu yao ya kuokotea point, kwa wanaojua siasa na fitna za mpira, unawezaje kwenda kutumia uwanja ambao wenzako unaoshindana nao wanautumia huo uwanja, azam ss hv anafanya vzr na yanga ndio bingwa wa nchi hii hadi Eng Hersi aondoke pale, mnawezaje nyie kushinda pale Chamazi, azam amekaa juu ya Simba na Leo mnaenda kucheza kwenye uwanja wao eti mnatafuta point, hamuoni mambo yalivyokuwa magumu leo, wamemtumia yule Waziri Junior tangu akiwa Mbao FC amekuwa mshika nyota dhidi ya Simba, kwanini mnatuumiza roho zetu lakini.
Mpaka mseme na Badoo, uwanja wa uhuru umefungwa sijui mtakimbilia wapi, akuna kwingine zaidi ya kutumia uwanja wa Azam labda muamie Zanzibar🤣🤣
 
Mbona povuuuuuuuuuuuu Mzee umekula sabuni ya magadi Nini Yani wewe mgeni wa mechii alafu umpangie uwanja mwenyeji unaoutaka wewe
 
Yani mgeni anampangia mwenyeji uwanja wa kucheza hiki ni kituko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam lakini Yanga ni kama sehemu yao ya kuokotea point, kwa wanaojua siasa na fitna za mpira, unawezaje kwenda kutumia uwanja ambao wenzako unaoshindana nao wanautumia huo uwanja, azam ss hv anafanya vzr na yanga ndio bingwa wa nchi hii hadi Eng Hersi aondoke pale, mnawezaje nyie kushinda pale Chamazi, azam amekaa juu ya Simba na Leo mnaenda kucheza kwenye uwanja wao eti mnatafuta point, hamuoni mambo yalivyokuwa magumu leo, wamemtumia yule Waziri Junior tangu akiwa Mbao FC amekuwa mshika nyota dhidi ya Simba, kwanini mnatuumiza roho zetu lakini.
mnaocheza nao huwa wanachezea hewani?
 
Sasa timu mgeni anachagua vp uwanja? Kama nyie ndo wapiga kura, haishangazi viongozi wenu kuwa makanjanja
 
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam lakini Yanga ni kama sehemu yao ya kuokotea point, kwa wanaojua siasa na fitna za mpira, unawezaje kwenda kutumia uwanja ambao wenzako unaoshindana nao wanautumia huo uwanja, azam ss hv anafanya vzr na yanga ndio bingwa wa nchi hii hadi Eng Hersi aondoke pale, mnawezaje nyie kushinda pale Chamazi, azam amekaa juu ya Simba na Leo mnaenda kucheza kwenye uwanja wao eti mnatafuta point, hamuoni mambo yalivyokuwa magumu leo, wamemtumia yule Waziri Junior tangu akiwa Mbao FC amekuwa mshika nyota dhidi ya Simba, kwanini mnatuumiza roho zetu lakini.
Umeasahau nakukumbusha kidogo tu kwa faida ya wengi, Waziri Junior Shentembo ameanza kuifunga Simba toka mwaka 2016 akiwa Toto Africans ya Mwanza. Mwaka 2016 April 17 aliweka goli safii la mbali pale kwa Mkapa Simba akafa 1-0 live bila chenga
 
Back
Top Bottom