Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam lakini Yanga ni kama sehemu yao ya kuokotea point, kwa wanaojua siasa na fitna za mpira, unawezaje kwenda kutumia uwanja ambao wenzako unaoshindana nao wanautumia huo uwanja, azam ss hv anafanya vzr na yanga ndio bingwa wa nchi hii hadi Eng Hersi aondoke pale, mnawezaje nyie kushinda pale Chamazi, azam amekaa juu ya Simba na Leo mnaenda kucheza kwenye uwanja wao eti mnatafuta point, hamuoni mambo yalivyokuwa magumu leo, wamemtumia yule Waziri Junior tangu akiwa Mbao FC amekuwa mshika nyota dhidi ya Simba, kwanini mnatuumiza roho zetu lakini.