Nilisema napita ,ila sasa nimezama

Mkuu nakuona kwanza umefeli/
Hiyo mistari labda ujaribu beat ya singeli/
Umeshikwa pabaya kigoma mwisho reli/
Unatapa tapa mithili ya kuku mwenye kideri/
Hapa nimefika
 
Jikimwi atakupea, kisonono kitakuelemea!.
Shipa litakumea, komwe litakulegea!
si ulisema utapita, jikimwi amekupea!
Lisonono litatafuna,likichwa lote la rungu,
Komwe lililotuna,kulibusu ataona kiwingu,
Washenyentane sana,wataikumbuka mbingu.
 
Lisonono litatafuna,likichwa lote la rungu,
Komwe lililotuna,kulibusu ataona kiwingu,
Washenyentane sana,wataikumbuka mbingu.
Sikulazii damu nawewe!.

shenyento ukilihusudu, litakuwasha kama upupu!
tunza likipepeo lako, wahuni tunalitupia mimacho
kichunge kama mboni, ukizubaa siku za mwisho huzioni!.

Ukikileta kwa muhuni, tunakitufua kama mbuni
Wengine huita ukuni, angalia lisikuletee huzuni

Tunza chako kiyeye, kimsubirie mumewe
ukizubaa kwa ma mwewe, tutakupeperusha to yeye!.
 
Kipaji Cha πŸ”₯
 
Usikute kuna vijana watatamani hii verse ingekua hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...

Komwe nisipo libusu, ni kesi mahakani
Ana yake mahabusu, kutoka sitamani
Nikiichakata mbususu, utamu hadi kichohoni
Nikisema napita, ila sasa nimezama.
hugugulia ukuni, nikiwa namshenyenta,
utamu mpaka pomoni, mnato mithili nta,
tufikapo ukingoni, nampatia kitita,πŸ˜‚
hakika binti mwembamba, akili ameiteka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…