Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
kuingia Sakho ilikuwa sawa lkn siyo kwa kumtoa Chama bali kyombo ndo alikuwa anazurura tu uwanjani ilipaswa atolewe mapema.Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu
Mshukuru tu Mungu kocha kaona mapungufu. Believe ingekua mgunda ile mechi mngelala maana asingeona mapungufu yako wapi. Saido na chama ni kama walkua wanacheza no moja, viberenge vilipoingia vilipush sana.kuingia Sakho ilikuwa sawa lkn siyo kwa kumtoa Chama bali kyombo ndo alikuwa anazurura tu uwanjani ilipaswa atolewe mapema.
Kwani timu alipanga nani..alianza kukosea kuanzia kwenye upangajiMshukuru tu Mungu kocha kaona mapungufu. Believe ingekua mgunda ile mechi mngelala maana asingeona mapungufu yako wapi. Saido na chama ni kama walkua wanacheza no moja, viberenge vilipoingia vilipush sana.
Mpira wetu hauna tofauti na siasa zetu, ukisikiliza kila mtu utapotea. Unaweza kumsikia chawa wa CCM anasema Mbowe aachie kiti, unajiuliza akiachia wewe utafaidikaje?Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu
Makocha wengi wanapanga, mpango ukifeli wanafanya mabadiliko. Hapo nfo hutofautiana.Kwani timu alipanga nani..alianza kukosea kuanzia kwenye upangaji
Pasaka mbali uko.. valentine day tu atakua joblessMuda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu
Washamwonjesha sembe yuleKocha ana vuta bangi sio bure
Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu
Kwamba unamfukuza wewe?Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu
Juma mgunda ndo mwambaMuda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?
Tuachieni Mgunda wetu