Nilisema narudia kusema huyu Kocha wa Simba hafiki pasaka

Nilisema narudia kusema huyu Kocha wa Simba hafiki pasaka

kuingia Sakho ilikuwa sawa lkn siyo kwa kumtoa Chama bali kyombo ndo alikuwa anazurura tu uwanjani ilipaswa atolewe mapema.
Mshukuru tu Mungu kocha kaona mapungufu. Believe ingekua mgunda ile mechi mngelala maana asingeona mapungufu yako wapi. Saido na chama ni kama walkua wanacheza no moja, viberenge vilipoingia vilipush sana.
 
Kwani timu alipanga nani..alianza kukosea kuanzia kwenye upangaji
 
Muda utaongea. Tuvute subira
Unamtoaje Chama kisa anaingia Sakho? Kweli?

Tuachieni Mgunda wetu
Mpira wetu hauna tofauti na siasa zetu, ukisikiliza kila mtu utapotea. Unaweza kumsikia chawa wa CCM anasema Mbowe aachie kiti, unajiuliza akiachia wewe utafaidikaje?
 
Kuna mentality ya ajabu sana kwa mashabiki wetu, sisi ndio tunachangia matatizo kwa timu zetu kwa kuwavuruga wachezaji kwa makelele yetu, jambo linalosababisha performance yao kushuka uwanjani.

Ajabu Simba imeshinda, lakini kelele zinazopigwa na baadhi ya mashabiki zinashangaza, hao Mbeya City wamekuwa wakitusumbua kila wakati, tena Chama akiwepo, jana tumewafunga tena bila Chama, waswahili hawaridhiki, kwao bora tunge draw Chama akiwepo!..

Naamini huu utakuwa ni ugonjwa wa akili.
 
Back
Top Bottom