Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache.

Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
 
Imenibidi ni google

The president's salary currently sits at $400,000 annually.
Along with this salary, the President is allotted $50,000 for expenses,
$19,000 for entertainment,
and given access to a $100,000 non-taxable travel account,
 
Hakuna nchi duniani inayo mwachia rais ajilipie chakula chake mwenyewe, hao wanao mpaka wale waonja chakula chao.

Unakumbuka Obama alikuja Tanzania na maji yake, ile ukiona rais kenda nunua burger na ice cream ujuwe wale wahudumu usalama watupu.

Rais wa marekani anaweza lipa kodi ya mshahara wake lakini sio ya chakula. Pia kuna baadhi ya state hulipii kodi ya chakula.
 
Uyo ndugu yako ni comedy's alikuwa anakuchekesha na wew umeleta huku ukiwa silias bos
 
Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache.

Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
Ndugu usishangae hata Raisi wa TFF anajinunulia chakula!!!
 
Amenihakikishia kuwa hujinunulia chakula kwa mshahara
 
Imenibidi ni google

The president's salary currently sits at $400,000 annually.
Along with this salary, the President is allotted $50,000 for expenses,
$19,000 for entertainment,
and given access to a $100,000 non-taxable travel account,
Huku kwetu sinto shangaa bunge likipendekeza aongezewe posho...🤣
 
Back
Top Bottom