Nilishauri kuwa kabla ya maandamano ya NRNE muandamanie bima ya afya hamkunielewa!!

Nilishauri kuwa kabla ya maandamano ya NRNE muandamanie bima ya afya hamkunielewa!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa fedha za matibabu.

Wakiwashauri tena kuandamana muwakumbushe wawakatie bima za afya na silaha za moto.

HIYO MLIYOONJESHWA INAITWA GUSA UNATE
 
Ngoja nikueleweshe ndugu yangu.Usidhani kila ugonjwa unaweza kwenda kutibiwa kirahisi hata kama ni hospitali za binafsi.
Ugua kichwa,macho,kutenguka,uzazi n.k utatibiwa na private.

Ukishakuwa na tatizo lenye utata mfano jeraha hasa la mapanga au risasi issue inabadilika ukienda kule lazima ukachukue RB ya polisi.Na ukifika kule utaeleza ulipata shida hiyo mazingira gani ndio unaweza ruhusiwa kutibiwa maana matibabu ni haki ya kikatiba hata kama ni mhalifu utahukumiwa kinyongwa siku za mbeleni.Na kwa RB lazima utibiwe na hospitali zilizoidhinishwa na serikali ila sasa kwa kweli hiyo bima yako ndio itarahisisha sasa.

Pia niende mbali zaidi japo itakuwa nje ya mada yako.Kuna magonjwa ambayo serikali inabeba dhamana hayaruhusiwi kutibiwa hospitali binafsi mfano magonjwa ya mlipuko kama Kipindu pindu,Typhoid endapo itaingia sehemu kwa nguvu kubwa,kisukari,ukoma,cancer n'k

Hata hivyo tahadhari yako ilikuwa ni muhimu sana kwa kweli maanake hata huko serikalini mfano Bugando au Muhimbili kadi yako ingerahisisha mambo mambo.
 
Wewe jamaa hata hauelewi unachoongea.

Kwa taarifa yako: HAKUNA BIMA ILIKUWA INAFANYA KAZI WALIPOKATA MTANDAO.

Wagonjwa wote wenye bima ilibidi watibiwe kwa utaratibu mwingine na hospitali husika. Hii haikujalisha wewe umeumia kwenye maandamano ama umeenda kutibiwa tatizo lingine lolote!

Na hii haikuwahusu mikoa iliyokuwa na maandamano ama laah, ilikuwa nchi nzima, as long as hakukuwa na internet basi bima zilikuwa useless!
 
Sio kweli
 
Mtoa mada ni tundu la kati ya matako
 
Hili swali ni sawa na kuuliza kabla ya ndege kugunduliwa watu walikuwa wakwendaje ulaya?
Ndiyo,inamaana kulikuwa na njia mbadala siku hiyo watu walitibiwa kwa kuorodheshwa kwenye madaftari kwani kadi zilionesha tarehe ya mwisho kwa kila moja
 
Back
Top Bottom