HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ngoja nikueleweshe ndugu yangu.Usidhani kila ugonjwa unaweza kwenda kutibiwa kirahisi hata kama ni hospitali za binafsi.Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa fedha za matibabu.
Wakiwashauri tena kuandamana muwakumbushe wawakatie bima za afya na silaha za moto.
HIYO MLIYOONJESHWA INAITWA GUSA UNATE
Sio kweliWewe jamaa hata hauelewi unachoongea.
Kwa taarifa yako: HAKUNA BIMA ILIKUWA INAFANYA KAZI WALIPOKATA MTANDAO.
Wagonjwa wote wenye bima ilibidi watibiwe kwa utaratibu mwingine na hospitali husika. Hii haikujalisha wewe umeumia kwenye maandamano ama umeenda kutibiwa tatizo lingine lolote!
Na hii haikuwahusu mikoa iliyokuwa na maandamano ama laah, ilikuwa nchi nzima, as long as hakukuwa na internet basi bima zilikuwa useless!
Mkuu, NHIF ilikuwa haifanyi kazi kwa siku zote mtandao ulipozimwaSio kweli
Ukienda unakutana ma mafele 🐼Ukishakuwa na tatizo lenye utata mfano jeraha hasa la mapanga au risasi issue inabadilika ukienda kule lazima ukachukue RB ya polisi.
Huyu ni kichaa na anaishi kwa siasa za maji taka na chukiSio kweli
Mtoa mada ni tundu la kati ya matako
Kabla ya mitandao watu walitibiwaje?Mkuu, NHIF ilikuwa haifanyi kazi kwa siku zote mtandao ulipozimwa
Hili swali ni sawa na kuuliza kabla ya ndege kugunduliwa watu walikuwa wakwendaje ulaya?Tatizo lenu ni
Kabla ya mitandao watu walitibiwaje?
Ndiyo,inamaana kulikuwa na njia mbadala siku hiyo watu walitibiwa kwa kuorodheshwa kwenye madaftari kwani kadi zilionesha tarehe ya mwisho kwa kila mojaHili swali ni sawa na kuuliza kabla ya ndege kugunduliwa watu walikuwa wakwendaje ulaya?