antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kuna athari gani ya kuvunjika muungano?huo muungano unajua kweli hata mababu zako walikuwa na lengo gani mpaka wakaungana ? Unajua mifumo inayoitumia Qur'an kama katiba yao? Unajua adhari za kuvunjika kwa muungano kwa nchi hizi mbili? Tuanzie hapo?
Jinga sn hili jamaaWe kiazi sana yaani unalazimisha imani uliyorithishwa ndiyo uwe ukweli.
Tuambie Tanzania ilitokana na muungano wa nchi mbili ni ipi na ipi?
Kanaitwa "chama cha magufuli (ccm)Umegundua mabango ya ccm hayasemi chagua ccm bali yanasema chagua magufuli.
Nahisi kuna chama kipya cha siasa kinaitwa magufuli
kwani Hilo swali umeuliza wewe? mpaka utake majibu kutoka kwangu.Kuna athari gani ya kuvunjika muungano?
Watoto wanaenda kushangaa wasanii tu hamna lingine.Ha ha ha.. hao watoto siyo wapiga kura, sijui kwa nn maccm wanawatesa kwa kuwarundika mikutanoni
Ebu kunywa maji then relax upunguze jazba maana unamihemko sanaYaani zanzibar iwe mkoa?patachimbika kudadeki
Kwa akili yako yote unategemea msaada wa njeMwambie Robert ashike adabu zake na arudi kunyonya maziwa ya aliemzaa yamtoshe.
Waliikuta Zanzibar kabla ya Muungano ikiwa na maendeleo kuliko Tanganyika. Ilipoingia kwenye Muungano imefishwa yote. Miaka 50+ Zanzibar leo tunahangaika na vitu vya kipuuzi. Kisiwa kidogo tu kinakosa barabara nzuri, kisiwa kidogo tu maji hata mjini shida. Mataifa ya nje yakitaka kuisaidia Zanzibar JMT inaweka pingamizi.
Sina chama ila mwaka huu, nataka Maalim Seif asimamie kauli yake ya liwalo na liwe ili watu waheshimiane!
Hujawahi.kudhulumu mtu kwa nini unataka Wazanzibari wadhulumiwe na hili jini Muungano? Kama hiyo si kushiriki dhulma utaiita nini?Mimi sijawahi kumdhulumu Mtu Mkuu.
Kuhusu Ajira, nimeshamwambia Magufuli sitamchagua hata alie, kama hanipi kula kwa nini nimpe kura. Aniombe nimuajiri alafu yeye hata kuniajiri. Nilishamuandikia.
Mimi sina ufuasi wa kipuuzi.
Hivi ww Kama nani unaanza kusema shida za wenzako mbona shida zako huzisemi? Utajua hujui muda ukifika. Hii nchi kubwa sana sio kisiwa Kama unadhani unaijua sana hii nchi jua huijui kuanzia Sasa.Shida ya Lissu unaijua Mkuu?
Ushawahi kuona nchi imeshinda nguvu ya Raia? Msije baadae mkatafuta mchawi.Kwa akili yako yote unategemea msaada wa nje
Ataiwekaje kwa mfano??!Watanzania wenye akili timamu hawawezi chagua Tundu,maana huyo jamaa ataweka kila kitu including Amani yetu kwenye matundu.
Mtu anasema asipotangazwa mshindi safari anakinukisha.
Nashangaa hata Magufuli wanayesema ana roho mbaya anamuacha anaongea pumba, ningekuwa mimi saa hizi angekuwa jela kwa matamshi ya kichochezi.
Watanzania wenye akili timamu hawawezi chagua Tundu,maana huyo jamaa ataweka kila kitu including Amani yetu kwenye matundu.
Shida ya Lissu unaijua Mkuu?