Nilishawahi kusema, Yanga SC hamjawahi kujaribiwa

Ni kweli. Mechi ya kesho ni ngumu zaidi ya hii ya Utopolo vs Al Hilal. Na tukumbuke kwamba Angola iko juu ya Sudan kwenye FIFA rankings.
Bora mmetambua hilo
Maana mna furaha Utafikiri mmeshafuzu na yanga katolewa
Football, chochote kinaweza kutokea
Unakumbuka tulivyowatoa township rollers?
 
Walikuwa tested na Vipers, sema walipuuzia kwa kuwa wao mechi za kimataifa za kirafiki siyo kipaumbele Chao,....

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Huko msitutie aibu kwani nyie bila kukalia tano ugenini huwa hamridhiki.
 
Ukweli ni kuwa Simba haizungumziwi sana kwa kuwa wamemuheshimu mpinzani wao tangu awali kabisa. Yanga mliongea kwa kebehi sana na kusema Hilal wamefungwa na TP Mazembe B, hawana lolote, mara ni timu inayojitafuta na isiyo na muunganiko. Mara mtawapiga kama ngoma.
Simba kwa kutumia uzoefu wamekuwa kimya na kikubwa wanaenda kitafuta ushindi ugenini au walau wapate sare ya magoli.
 
Timu yetu nzuri iko full kuanzia kipa mpaka fundi mayele. Bahati mbaya tu leo ila tuna bangala, aziz ki, morrison leg 2 hao wasudan watakoma we subiri tu.
Kaka ukiona goalkeeper ndo anakuwa man of the match ujue hapo kuna tatizo, Kwa tuliosoma Zanzibar tulishajua kuwa Khartoum hatutoboi.
 
Na zile Goli 9 ziliwatia ujinga. Unatetema kama mwendawazimu.

Bado wanajipa moyo kuwa watapindua meza. Hawapo Serious
 
Kaka ukiona goalkeeper ndo anakuwa man of the match ujue hapo kuna tatizo, Kwa tuliosoma Zanzibar tulishajua kuwa Khartoum hatutoboi.

Ngumu sana. Ibenge anawasubiria. Msudan alitakiwa kumalizana nae hapa hapa. Yaani papatu papatu hadi kieleweke.

Imeisha hiyo , Hali ni Mbaya
 
Hatujasema kuwa utakuwa ni rahisi . Ila hawa Yanga wanachukuliaga maisha simple simple . Ngoja wawe tested
Wewe hebu acha kujikuta mjuaji, hakuna hata mmoja aliyeidharau mechi kilichotokea ni matokeo ya mpira tu lakini sio kama unavyorahisisha hapa.

Tunavyobishanaga hapa haina maana ndio fikra za kina Nabi nazo zinawaza kama sisi. Tatizo lenu huwa mnachanganya ushabiki na uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
 

Sio nyie mliyoita ni Mazembe b.
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya kwanza kumalizika Kwa sare ya Mojamoja.
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon Sports ya Rwanda baada ya mechi ya kwanza kumalizika Kwa sare ya Mojamoja.
Hii ilikuwa kabla ya 1995?
Maana rekodi zinasema yanga hajawahi kufuzu hatua ya makundi tangu 1995.
 
Hii ilikuwa kabla ya 1995?
Maana rekodi zinasema yanga hajawahi kufuzu hatua ya makundi tangu 1995.
Achana na wachambuzi uchwara, kwani 2018 ulikua hujazaliwa? Yanga anacheza na Rayon, Gol mahia, Usm Algeria kwenye kundi Moja bado ulikua huja anza kufuatilia mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…