Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani malengo ya timu yalikuwa ni kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani malengo ya timu yalikuwa ni kufanya nini?
Tulitolewa na ud Songo mwisho WA siku tukafika robo fainaMbona wale Galaxy kutoka Botswana, na wale UD Songo wa Msumbiji, walikuja kuwatolea hapo hapo uwanja wa Taifa! Siku zote kinacho waponza ni maneno yenu mengi nje ya uwanja!
Kwa hiyo umekubali sasa ya kwamba mlitolewa kwa Mkapa na hao UD Songi na Galacy, kinyume kabisa na maelezo yako ya awali!!Tulitolewa na ud Songo mwisho WA siku tukafika robo faina
Tukatolewa na Galaxy tukafika tena robo [emoji1][emoji1]
Sasa wewe Makundi Tu mwaka 2018 uliishia nafasi ya 3 ukarudi kucheza Na Wakina pamba ng'ombe wewe
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app