Nilishawahi kusema, Yanga SC hamjawahi kujaribiwa

Mbona wale Galaxy kutoka Botswana, na wale UD Songo wa Msumbiji, walikuja kuwatolea hapo hapo uwanja wa Taifa! Siku zote kinacho waponza ni maneno yenu mengi nje ya uwanja!
Tulitolewa na ud Songo mwisho WA siku tukafika robo faina

Tukatolewa na Galaxy tukafika tena robo [emoji1][emoji1]


Sasa wewe Makundi Tu mwaka 2018 uliishia nafasi ya 3 ukarudi kucheza Na Wakina pamba ng'ombe wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo umekubali sasa ya kwamba mlitolewa kwa Mkapa na hao UD Songi na Galacy, kinyume kabisa na maelezo yako ya awali!!

Hayo ya kufika robo fainali yako nje ya maelezo yangu. Hivyo sitayaweka kwenye kumbukumbu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…