Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

Fanya kazi hata ya kuendesha bodaboda hizi ndoto hazitokufikisha popote,ulizaliwa mwanaume komaa kuzisaka ukilala utajikuta unalaliwa watu wamepinda siku hizi.
Mkuu acha kumtus mamba wakati bado hujavuka mto
 
Hongera saana mkuu kwa kazi iliyotukuka uliyoifanya.
Km sio mbwembwe unastahili kupewa tuzo iliyotukuka aisee.

Naongeza 900 sio mbaya zaidi
 
Kupatwa kwa Nyumba ya mama wa makamo.

Vipi mama yeye hukumgegeda?
 
We jamaa wakati unataka kubandua mbona hukutuomba ushauri? Kwenda huko na stor za kutunga.
 
Ww ni ndezi kabisa tena kiboboru.siku nyingine usilete story mfu zako mfu huku.,.mara 50mil mara verosa mara mimba,..ww ni lofa kweli tumeshajua
 
Mkuu nenda jukwaa la siasa hapa ni chit chat

Kwahiyo unataka nianze kumusifia magufur na kumusafisha lowasa hapa ndo ujue mimi siyo kitoto
 
Katika member wanaoongoza kwa matumizi mabaya kabisa ya mtandao huu wa jamii forums bila shaka unaongoza. Jaribu kujipa muda wa kutafakari kabla haujaposti chochote itakusaidia sana.
Poa poa mkuu nitazingatia ushaul wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…