Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, nilikua napitia manyuzi zako.. Ngoja nikufollow kwanza..Hapana mkuu siyo hivyo nimehusisha kwenye story yangu ili kuweka mambo sawa
Ww ni ndezi kabisa tena kiboboru.siku nyingine usilete story mfu zako mfu huku.,.mara 50mil mara verosa mara mimba,..ww ni lofa kweli tumeshajuaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Nilishuka kwenye gar zur aina ya verosa lenye namba C maana nimekuwa nalo toka mwaka jana
Nilimuona mama wa makamo akishuka kwenye gar lake aina ya NADIA tulikutanisha macho nikatabasam naye akatabasam vile vile, nilimpa hai YES MOMY akasema WARAP BOY nilimfuata nikamuomba namba yake ya cm akanipa then mimi nikaingia bank kupeleka mapene marefu
sikutaka hata kumuchelewa nilimpiga mistar aingia lain nikawa nampiga chuma kama kawa licha ya kunizid umur, nilianz kuwa naenda had kwake, nyumban kwake kulikuwa na mabinti wawili wakali kinoma
Yule binti mmoja alinizoea zoea nikambandua na yule wa pili naye alinizoea nikamdundua pia kulikuwa kuna dada wa kaz pale home naye pia nilimbandua
Kwa sasa niko kwenye hali mbaya sana maana kuanzia yule mama na wale watoto wake wawili pamoja na yule dada wa kaz wote wana mimba na wote wanadai mimi ndo mwenye hiyo mizigo
Yaan hiyo inaitwa nimekula kuku na mayai yake
Naomben ushaul wenu
LONDON BABY
Mkuu nenda jukwaa la siasa hapa ni chit chatKujiunga mwezi wa kumi haimaanishi ni mgeni na jamii forum,
Na una hakika gani mimi mgeni humu? Kwa sababu ya ID mpya?
Dogo acha kutafuta umaarufu jf na vipost vyako vya kitoto wapelekee wenzako fb.
Zamani jf ilikuwa home of gt kweli, toka vitoto mjiunge imekuwa tabu