Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

Unasumbuliwa na ugonjwa unaitwa ushamba
 
Anaekubandua wewe anakula mla kuku na mayai na vifaranga vyake
 
Tunaomba apigwe BAN kubwa huyu mzushi na muongo na stori zake za kiongo
cc Active PainKiller
 
Fanya kazi hata ya kuendesha bodaboda hizi ndoto hazitokufikisha popote,ulizaliwa mwanaume komaa kuzisaka ukilala utajikuta unalaliwa watu wamepinda siku hizi.

Huyu atakua mchele! Mwanaume rijali hawezi kuota ndoto za kipuuzi namna hii
 
kila siku,na kila kitu wewe mwenyewe.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…