Nilishuka kwenye verossa tinted nyeus nikaingia bank kuweka milion 50

exhibiting your foolishness, hupaswi kujiuliza mara mbili kabla ujatambua kwamba uwezo wako wa kufikiri upo chini kwa upumbavu huu
 
Akil zako zinakutosha mwenyewe ila hadith yako iko gud
 

Hata mimi hii cenema nimeiona kwenye basi la KIDIA ONE Dar to Arusha, sikumbuki majina ya wachezaji kwamaana sio mshabiki wa bongo muvi ila nimemkumbuka mmoja kwamaana nilimuona mahakamani, sijui inaitwa nani ila ni kabinti karembo sana.
 
Katika member wanaoongoza kwa matumizi mabaya kabisa ya mtandao huu wa jamii forums bila shaka unaongoza. Jaribu kujipa muda wa kutafakari kabla haujaposti chochote itakusaidia sana.

Free wifi ndo matumizi yake hayo
 
Watu wenye sifa na uongo kama wewe hufa bila kushika milioni 10, ikitokea akaishika anakufa kabla hajaitumia. Nyambafu.
 
Hivi huku jf hakuna chaguo la kutokuona post ya mtu fulani has a kama amepost ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…