Nilisikia kuna watanzania waliopewa dhamana kusimamia rasilimali za nchi walio gawa rasilimali zetu ikiwemo bandari zetu kwa wageni bila ushiriki wa wananchi wanasema heti sababu ya kugawa bandari kwa DP world kuendesha bandari zetu ni kwasababu wao wana mashine za kisasa hali inayo pelekea wafanye upakuaji haraka wa mizigo kama ni hivyo kwanini sisi tusiende tukanunua mashine zetu kama za DP world tuzifunge pale bandarini ili tupakue mizigo haraka kama wao ?