Nilisikia DP world wanapakua mizigo haraka kwa mashine za kisasa kwanini sisi tusiende kununua mashine kama hizo ili tupakue haraka

Nilisikia DP world wanapakua mizigo haraka kwa mashine za kisasa kwanini sisi tusiende kununua mashine kama hizo ili tupakue haraka

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Nilisikia kuna watanzania waliopewa dhamana kusimamia rasilimali za nchi walio gawa rasilimali zetu ikiwemo bandari zetu kwa wageni bila ushiriki wa wananchi

Wanasema heti sababu ya kugawa bandari kwa DP world kuendesha bandari zetu ni kwasababu wao wana mashine za kisasa hali inayo pelekea wafanye upakuaji haraka wa mizigo.

Kama ni hivyo kwanini sisi tusiende tukanunua mashine zetu kama za DP world tuzifunge pale bandarini ili tupakue mizigo haraka kama wao ?
 
Nilisikia kuna watanzania waliopewa dhamana kusimamia rasilimali za nchi walio gawa rasilimali zetu ikiwemo bandari zetu kwa wageni bila ushiriki wa wananchi wanasema heti sababu ya kugawa bandari kwa DP world kuendesha bandari zetu ni kwasababu wao wana mashine za kisasa hali inayo pelekea wafanye upakuaji haraka wa mizigo kama ni hivyo kwanini sisi tusiende tukanunua mashine zetu kama za DP world tuzifunge pale bandarini ili tupakue mizigo haraka kama wao ?
Nakuona unavyotaka kuwashika watu mikono wakiwa wanakula
 
Kwanza walitudanganya kuwa Hawa DP world wanapakua mizigo Kwa haraka.Mizigo inayopakuliwa na dp world inachelewa kuliko hata ilivyokuwa kabla ya ujio wao.Tulipigwq na huyu mama.
 
Hivi vitu vinauma sana ina maana hata hizo mashine tumeshindwa kununua na kufanyia kazi.Bado kuna watu wenye akili ya kitumwa na bahati mbao wana nafas za maamuzi.Eee Mungu uturehemu.
 
Back
Top Bottom