Nilisikia kwamba eti...

Nilisikia kwamba eti...

[emoji23][emoji23][emoji23] ndoto za mchana hizo!!! Nna nywele sehemu tatu tu mwilini mwangu.

Nilisikia kwamba eti, miaka ikienda unakuwa na nywele sehemu tano mwilini mwako. Zinaongezeka puani na masikioni.
 
Nilisikia kwamba eti "watu wengine akili zao hata wenyewe haziwatoshi"
 
Habari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."

Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha
 
Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Wewe una hela ya kumlipa Kibatala!
 
nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilisikia kwamba paprika anahitaji wanaotembelea SA wasiache kumpa hi pale Jo berg [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom