Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Babake jes car. 0717Mkuu wa kijiji ni nani? Marinda ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babake jes car. 0717Mkuu wa kijiji ni nani? Marinda ni nini?
Nasikia kwamba eti hata wanaume nao ni vivyo hivyoNasikia asilimia ya mademu wa humu wanaojifanya wananata/masista duu wote ni vikojozi
Mmh.Nimesikia eti mtoa mada ni mtamu
Naskia eti umemchoka unataka kunisukumizia. ..Nimesikia eti Khantwe naye yupo kwenye list yako ya Warembo uliolala nao
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mmh.
Naskia eti umemchoka unataka kunisukumizia. ..
Nimesikia eti imemwagwa ndo unataka kujisogeza kwanguNimejiskia eti kamoyo kanaanza kukuwaza [emoji4][emoji4]
[emoji13][emoji13]
HahaNimesikia eti imemwagwa ndo unataka kujisogeza kwangu
Hahaa nimesikia na mimi nimeghairiHaha
Nimeskia kwamba ukimchunguza bata haumli.
Baada ya mazishi yakoUnakufa lini?
Oooh kumbe!!Baada ya mazishi yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Nasikia eti hata ukiwa faragha na mtu mwingine unataja jina langu..Utaachika teh
Nasikia eti w.end hii tutakuwa wote eti!!!Nasikia eti hata ukiwa faragha na mtu mwingine unataja jina langu..Utaachika teh
Teh... chukua mzigo wako tuNasikia eti hata ukiwa faragha na mtu mwingine unataja jina langu..Utaachika teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Swahiba naskia mazishi yake ni hivi karibuniBaada ya mazishi yako