[emoji23][emoji23][emoji23] ndoto za mchana hizo!!! Nna nywele sehemu tatu tu mwilini mwangu.
nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahahaHabari wana-chit-chat!
Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...."
Mfano;
Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
Wewe! Usituongezee ratiba mwisho wa mwezi, tuje kukutembelea Keko.Nilisikia kwamba eti JPM ni _____
Wewe una hela ya kumlipa Kibatala!Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Nilisikia eti akichokozwa anaendelea na episode nyingine.nilisikia eti ukikalia chungu, unakuwa mfupi (dongo la bashite kwa gwajima jana)...anamwita gwajima mfupi...hahahaha
Acha uongo mkuu. Bikra bongo kwendaaaaaNilisikia kwamba eti, mwanajf Paprika bado ana bikira yake safiii!!!!
Mkuu wa kijiji ni nani? Marinda ni nini?Wewe una hela ya kumlipa Kibatala!