Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

Maneno haya si mageni mjini. Mwangalie Mkurugenzi wa NBC bwana Sabi, alisoma Electrical Engineering pale UD, leo hayupo kwenye makorokocho ya umeme.
 
Utoto unakusumbua.Hizo mambo za sijui nimesoma nini nasasa nafanya nini ni mambo ya kawaida sana.Tena combination zenyewe za sekondari ndo ufungue hadi uzi.Hizo combi wala hakuna cha maana zaidi umalize shule ukapambane uko mbele,cha maana nipale unapomaliza chuo alafu ulichokisoma hakikupi muelekeo wowote wa maisha.Dunia ya sasa wako wengi tu waliiosoma mambo ambayo hawajishughulishi nayo.Hao wanaokusema itakua wana akili zakitoto nawao.
 
Huko umeangukia tu ila haikuwa ndoto yako.
 

Bro kwani ukisema tu ufaulu haukukuruhusu kwenda udaktari na kozi za afya utapata shiida ipi??

Sema ukweli alafu baadae washauri watu, ili wawe na macho mapana. Lakin pia unabaahati nazan ya wazazi au ndugu walikushika mkono maana kuna chuo kinatoa hiyo koz huko kaskani ni gharama sana mtu wa kawaida huwez afford na nna hakika ulisoma huko.
 
Lengo la huu uzi ni waliosoma PCB waende kwenye Wildlife & tourism? ni kuonyesha jinsi tourism ilivyo dili? Au lengo ni kuonyesha umuhimu wa lugha ya kigeni?... anyway, YOU WILL BE FINE.
.. ni kuonyesha mafanikio yake ktk fani ya kusimamia nature, dhidi ya uchovu wa medical doctors
 
My brother alisoma PCM, yent he went kusomea finance, back in the day nilimlaum sana. Why aanachezea combination kama hiyo, then nikaelewa why miaka kadhaa mbeleni
Maisha ni very unpredictable, no disrespect kwa wengine
 
Bro gani unayesema ajitambue, huu ni waraka unayemhusu huyo Bro, je yuko humu JF??
 
Unamaanisha nilisoma wildlife management MWEKA au??
 
My brother alisoma PCM, yent he went kusomea finance, back in the day nilimlaum sana. Why aanachezea combination kama hiyo, then nikaelewa why miaka kadhaa mbeleni
Maisha ni very unpredictable, no disrespect kwa wengine

My brother alisoma PCM, yent he went kusomea finance, back in the day nilimlaum sana. Why aanachezea combination kama hiyo, then nikaelewa why miaka kadhaa mbeleni
Maisha ni very unpredictable, no disrespect kwa wengine
Hakika bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…