Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

Nilisoma PCB, leo niko Wildlife & Tourism—Si lazima uwe Daktari, jitambue bro!

Kazi Kama

Marketing and sales
Tourism
Bank taller
Logistic
Eduction

Hizi Sio Kazi ambazo unabidi ukae darasani kuzisomea, unaweza kujifunza na uka-master .

Kikubwa ni kujifunza communication skills and foreign language
 
Hata kozi za afya hazihitaji degree kwa level zote. inategemea na level. huku kijiji kwetu bwana mganga tunamuita daktari na maisha yanaenda fresh tu. Pia tuna manesi kibao wa ngazi ya cheti na wazalisha wamama fresh tu.

ni sawa na hukoi kwenye Wildlife na Tourism, inategemea unataka kuwa manamba wa kubeba mabegi ya watalii au unataka kuwa Afisa Wanyama Pori. kwa kazi ya kubeba mabegi unahitaji kozi ya miezi mitatu tu au sana sana cheti cha mwaka moja, lakini kama unataka kuwa Afisa wanyama Pori lazima uwe na degree.
kama ambavyo kama unataka kuzalisha kwa upasuaji lazima uwe na degree lakini kutumbua jibu hawa Clinicla Officers tuliona kwenye zahanani zetu wanatutumbua majipu.
Wewe kubali umepoteza muda,
Kuwa Conservation officer ni KAZI ya kishamba, uache kuishi wa wanadamu ukakae maporini?
Umejiuliza familia Yako nayo utaipeleka huko maporini

Pole kwa kweli, hii imemkita ndugu yangu pia...make na watoto wapo TARANGIRE NP, Tukamahauri aache ujinga umruhusu mkewe abakie Arusha mjin yeye ndiye Yuko huko maporini analalia mto wkt ana mke
 
Kwa hiyo wote tuwe madaktari siyo?Vipi na madaktari wanaolala zamu ya usiku huku mke akiwa mwenyewe nyumbani?
 
Story kama zako zinakujaga baada ya watu kushindwa kufikia malengo ya kusomea afya. Kwaiyo ni kawaida... Hoja yako ni sawa na kuwaambia watu wasome PCB halafu wakafanye mambo mengine. Haina mashiko. Kwanini wasiende moja kwa moja huko kwenye utalii??
 
Back
Top Bottom