Mbona mama samia malezo yamejitosheleza au unataka maelekezo zaidi ???Lengo la huu uzi ni waliosoma PCB waende kwenye Wildlife & tourism? ni kuonyesha jinsi tourism ilivyo dili? Au lengo ni kuonyesha umuhimu wa lugha ya kigeni?... anyway, YOU WILL BE FINE.
Aviator 😁Nilisoma HKL, narusha ndege. Wabeja
Ni yale yale. Mtu anafungua uzi kumsema eksi wake. Kwamba yule eksi mara hivi mara vile; na nilifurahi nilipotemana naye. Kumbe kisaikolojia kwa ndani mtu bado anaumia hata kama hajui.Your current Success kwenye wildlife haijareplace your deep desire of becoming a doc, zaidi imekufanya kuwa resentful.
Au unarusha ndege za asili(nyungo za kina bibi) hapa Bongo?Nilisoma HKL, narusha ndege. Wabeja
Sasa hivi watu wanashangaa bro, mtu kasoma PCB halafu leo anashughulika na wildlife management and tourism—wanabaki wameduwaa kama vile maisha ni formula ya chemistry. Lakini ukweli ni kwamba maisha yana njia nyingi za kufika unakotaka, na elimu ya sekondari haipaswi kuwa kifungo cha maamuzi yako ya baadaye.
Mi nilichagua PCB kwa sababu ilikuwa combination ngumu na ya heshima. Ilikuwa njia ya kupata point kali—na kwa system yetu, ukiwa unakamua PCB, kila mtu anadhani lazima uende medicine, pharmacy, lab science, au uhandisi. But yo, life ain’t that predictable. Ukifika chuo, ndo unagundua kuwa passion yako iko sehemu nyingine kabisa.
Nilipoingia chuo, nilichukua Bachelor ya Wildlife Management and Tourism. Wengi walishindwa kuelewa, wakafikiri ni downgrade. But academically speaking, hii ni kozi yenye kina—unalearn biology ya wanyamapori, environment science, conservation strategies, human-wildlife conflict, na pia tourism marketing, language skills, hospitality, everything! It’s a full package.
Watu wengi hawajui kuwa sekta ya utalii ni one of the most sustainable and lucrative industries worldwide. Na unlike kazi zingine, tourism haina ukomo wa miaka ya ajira. Hakuna pension, hakuna kufukuzwa kazi eti kwa kuwa umezeeka—mradi uko na skills zako, lugha zako, na network zako, unaweza kusurvive hadi uzee.
Mimi personally, nilikuwa na advantage ya Kirusi na Kijerumani. Ndio zimenibeba mjini hadi leo. Wageni wanapenda mtu anayejua lugha yao, anayewaelewa, anayejua culture yao. Ukijua lugha ya watu, unajua jinsi ya kuwauzia ndoto. Na ukijua kuwasiliana vizuri na foreign clients, unaweza kuchapa pesa bila kuomba ajira serikalini.
Sasa hapa ndo point kubwa iko: Si kila aliyesoma PCB lazima afuate njia ya traditional science careers. Kuna wengine walikuwa wanatimiza tu wajibu, point zikatoka, wakapata nafasi chuoni—wakifika huko, wanaamua waseme "Sasa nafanya ninachokipenda." Na hiyo si dhambi, ni hekima.
Elimu ni kama mtaji—lakini mtaji mkubwa kuliko yote ni kujijua. Kama unajua lugha, unajua watu, na unajua unachokitaka, basi uko mbali. Maisha ya sasa siyo tu degree yako, ni combination ya skills zako, exposure yako, na vitu unavyojifunza nje ya darasa.
Tourism haijafungwa kwenye ofisi—unaweza ku-run agency yako, uka-deal na wageni, ukaandaa tour packages, ukaandika travel blogs, uka-host kwenye Airbnb, ukaingia YouTube au TikTok ukafanya travel content. Hapo uko kwenye game la pesa, bro.
Kwa hiyo msione PCB halafu mtu kaingia wildlife and tourism mkadhani amepotea—he just found his real path. Dunia ya leo haitaki tu elimu, inataka elimu plus akili ya mtaani—smart hustle.
Ukitaka kufika mbali, usiogope kuchagua njia yako mwenyewe. Kwa sababu mwisho wa siku, siyo kila aliyetoka PCB lazima awe daktari—wengine tulikuja na mission tofauti. Na mission hiyo ndiyo inatulipa hadi leo.
Waambie wakuelewe! Tena ongeza sauti kabisa!PCB ni combination tu za kusomea A-Level ili uwe na masomo matatu, lakini haina maana kwamba lazima uwe daktari. Mimi hapa kazini kwangu tuna Mhasibu Mkuu; CPA holder na fomer Mzumbe boy PCB.
Dah! Ila we jamaa 🤣Ni yale yale. Mtu anafungua uzi kumsema eksi wake. Kwamba yule eksi mara hivi mara vile; na nilifurahi nilipotemana naye. Kumbe kisaikolojia kwa ndani mtu bado anaumia hata kama hajui.
Hata huyu jamaa. Hata kama anapata hela huko kwa watalii bado kuna kitu kwenye udaktari ambacho bado anakikosa (hata kama ni subconsciously). Ndoto zilizoshindwa kutimia. Pengo la ridhiko la nafsi. Makhulukutabu ya kifikra!
Lakini ndiyo maisha. Mara nyingi tunapata tunachokipata na siyo tulichodhani tutakipata!
Unataka kusema bro! 😁"For everything you have missed, you have gained something else. And for everything you gain, you lose something else"
Ulichoelezea ni kawaida tu, sisi mwaka wetu tuliosoma PCB walikuwa zaidi ya 200, lakini walioenda kozi za afya hawakufika 50. Wengine walienda taaluma zingine na wakafanikiwa. Ila haiondoi ukweli walitamani kuingia kwenye afya.
Dah! Ila we mwanetu 🤣Bado umepotea na hujitambui.....
Wewe kama ulitaka hayo kilichokufanya usiishie four na kwenda course ni nini????
Hizo kazi za TOURISM haziitaji degree
Hata ungesomea mama lishe (human nutrition) yote sawa tuSasa hivi watu wanashangaa bro, mtu kasoma PCB halafu leo anashughulika na wildlife management and tourism—wanabaki wameduwaa kama vile maisha ni formula ya chemistry. Lakini ukweli ni kwamba maisha yana njia nyingi za kufika unakotaka, na elimu ya sekondari haipaswi kuwa kifungo cha maamuzi yako ya baadaye.
Mi nilichagua PCB kwa sababu ilikuwa combination ngumu na ya heshima. Ilikuwa njia ya kupata point kali—na kwa system yetu, ukiwa unakamua PCB, kila mtu anadhani lazima uende medicine, pharmacy, lab science, au uhandisi. But yo, life ain’t that predictable. Ukifika chuo, ndo unagundua kuwa passion yako iko sehemu nyingine kabisa.
Nilipoingia chuo, nilichukua Bachelor ya Wildlife Management and Tourism. Wengi walishindwa kuelewa, wakafikiri ni downgrade. But academically speaking, hii ni kozi yenye kina—unalearn biology ya wanyamapori, environment science, conservation strategies, human-wildlife conflict, na pia tourism marketing, language skills, hospitality, everything! It’s a full package.
Watu wengi hawajui kuwa sekta ya utalii ni one of the most sustainable and lucrative industries worldwide. Na unlike kazi zingine, tourism haina ukomo wa miaka ya ajira. Hakuna pension, hakuna kufukuzwa kazi eti kwa kuwa umezeeka—mradi uko na skills zako, lugha zako, na network zako, unaweza kusurvive hadi uzee.
Mimi personally, nilikuwa na advantage ya Kirusi na Kijerumani. Ndio zimenibeba mjini hadi leo. Wageni wanapenda mtu anayejua lugha yao, anayewaelewa, anayejua culture yao. Ukijua lugha ya watu, unajua jinsi ya kuwauzia ndoto. Na ukijua kuwasiliana vizuri na foreign clients, unaweza kuchapa pesa bila kuomba ajira serikalini.
Sasa hapa ndo point kubwa iko: Si kila aliyesoma PCB lazima afuate njia ya traditional science careers. Kuna wengine walikuwa wanatimiza tu wajibu, point zikatoka, wakapata nafasi chuoni—wakifika huko, wanaamua waseme "Sasa nafanya ninachokipenda." Na hiyo si dhambi, ni hekima.
Elimu ni kama mtaji—lakini mtaji mkubwa kuliko yote ni kujijua. Kama unajua lugha, unajua watu, na unajua unachokitaka, basi uko mbali. Maisha ya sasa siyo tu degree yako, ni combination ya skills zako, exposure yako, na vitu unavyojifunza nje ya darasa.
Tourism haijafungwa kwenye ofisi—unaweza ku-run agency yako, uka-deal na wageni, ukaandaa tour packages, ukaandika travel blogs, uka-host kwenye Airbnb, ukaingia YouTube au TikTok ukafanya travel content. Hapo uko kwenye game la pesa, bro.
Kwa hiyo msione PCB halafu mtu kaingia wildlife and tourism mkadhani amepotea—he just found his real path. Dunia ya leo haitaki tu elimu, inataka elimu plus akili ya mtaani—smart hustle.
Ukitaka kufika mbali, usiogope kuchagua njia yako mwenyewe. Kwa sababu mwisho wa siku, siyo kila aliyetoka PCB lazima awe daktari—wengine tulikuja na mission tofauti. Na mission hiyo ndiyo inatulipa hadi leo.
Hapana. Inahitaji combination za Sayanzi kwa A level au ufaulu wa masomo ya sayanzi kwa wale wanaoanzia ngazi ya Cheti kule Chuo cha Mweka.Wildlife & Tourism havitegemei combnation au masomo uliyosoma, ni yeyote tu. Ni sawa na bank teller tu
Hata kozi za afya hazihitaji degree kwa level zote. inategemea na level. huku kijiji kwetu bwana mganga tunamuita daktari na maisha yanaenda fresh tu. Pia tuna manesi kibao wa ngazi ya cheti na wazalisha wamama fresh tu.Bado umepotea na hujitambui.....
Wewe kama ulitaka hayo kilichokufanya usiishie four na kwenda course ni nini????
Hizo kazi za TOURISM haziitaji degree
Good 👍 👍 😊 mkuuuSasa hivi watu wanashangaa bro, mtu kasoma PCB halafu leo anashughulika na wildlife management and tourism—wanabaki wameduwaa kama vile maisha ni formula ya chemistry. Lakini ukweli ni kwamba maisha yana njia nyingi za kufika unakotaka, na elimu ya sekondari haipaswi kuwa kifungo cha maamuzi yako ya baadaye.
Mi nilichagua PCB kwa sababu ilikuwa combination ngumu na ya heshima. Ilikuwa njia ya kupata point kali—na kwa system yetu, ukiwa unakamua PCB, kila mtu anadhani lazima uende medicine, pharmacy, lab science, au uhandisi. But yo, life ain’t that predictable. Ukifika chuo, ndo unagundua kuwa passion yako iko sehemu nyingine kabisa.
Nilipoingia chuo, nilichukua Bachelor ya Wildlife Management and Tourism. Wengi walishindwa kuelewa, wakafikiri ni downgrade. But academically speaking, hii ni kozi yenye kina—unalearn biology ya wanyamapori, environment science, conservation strategies, human-wildlife conflict, na pia tourism marketing, language skills, hospitality, everything! It’s a full package.
Watu wengi hawajui kuwa sekta ya utalii ni one of the most sustainable and lucrative industries worldwide. Na unlike kazi zingine, tourism haina ukomo wa miaka ya ajira. Hakuna pension, hakuna kufukuzwa kazi eti kwa kuwa umezeeka—mradi uko na skills zako, lugha zako, na network zako, unaweza kusurvive hadi uzee.
Mimi personally, nilikuwa na advantage ya Kirusi na Kijerumani. Ndio zimenibeba mjini hadi leo. Wageni wanapenda mtu anayejua lugha yao, anayewaelewa, anayejua culture yao. Ukijua lugha ya watu, unajua jinsi ya kuwauzia ndoto. Na ukijua kuwasiliana vizuri na foreign clients, unaweza kuchapa pesa bila kuomba ajira serikalini.
Sasa hapa ndo point kubwa iko: Si kila aliyesoma PCB lazima afuate njia ya traditional science careers. Kuna wengine walikuwa wanatimiza tu wajibu, point zikatoka, wakapata nafasi chuoni—wakifika huko, wanaamua waseme "Sasa nafanya ninachokipenda." Na hiyo si dhambi, ni hekima.
Elimu ni kama mtaji—lakini mtaji mkubwa kuliko yote ni kujijua. Kama unajua lugha, unajua watu, na unajua unachokitaka, basi uko mbali. Maisha ya sasa siyo tu degree yako, ni combination ya skills zako, exposure yako, na vitu unavyojifunza nje ya darasa.
Tourism haijafungwa kwenye ofisi—unaweza ku-run agency yako, uka-deal na wageni, ukaandaa tour packages, ukaandika travel blogs, uka-host kwenye Airbnb, ukaingia YouTube au TikTok ukafanya travel content. Hapo uko kwenye game la pesa, bro.
Kwa hiyo msione PCB halafu mtu kaingia wildlife and tourism mkadhani amepotea—he just found his real path. Dunia ya leo haitaki tu elimu, inataka elimu plus akili ya mtaani—smart hustle.
Ukitaka kufika mbali, usiogope kuchagua njia yako mwenyewe. Kwa sababu mwisho wa siku, siyo kila aliyetoka PCB lazima awe daktari—wengine tulikuja na mission tofauti. Na mission hiyo ndiyo inatulipa hadi leo.
Sawa kabisa. Elimu ni ufunguo tu wa maisha na hii haimaanishi elimu ya kuipatia darasani tu.Maisha sio lazima usome, baba yangu mdogo, alikuw hajui hata kuandika A lakini maisha yake yalikuwa murua sana