Hasa ukizingatia masomo ya shule ya msingi ni ya kawaida sana hayana mambo mengi, Sijaona ulazima wa kuwafanya watoto wadogo wasome utadhani wapo form 6.
Watoto wanabaki mpaka jioni, Shule zinahimiza watoto wabaki boarding, elimu ya msingi ni ya kukamiwa kiasi hicho?
Nakumbuka hapo zamani waliokuwa wanabaki shuleni ni darasa la nne na la saba tena ni kile kipindi mitihani inapokaribia.