Shule zinafanya watoto waone shule ni ngumu, elimu ya msingi inabidi mtoto asome kwa ku relaxMa remedial kama zote...mtoto wa darasa la nne akae boarding kweli?
Bado ule mzigo wa madaftari hadi mabega yanauma jamaniShule zinafanya watoto waone shule ni ngumu, elimu ya msingi inabidi mtoto asome kwa ku relax
Hakuna cha ziada ni kwa sababu wazazi wengi wapo busy kutafuta maisha kwa hiyo wanaona shuleni ndio angalau sehemu salama kwa watoto.Hasa ukizingatia masomo ya shule ya msingi ni ya kawaida sana hayana mambo mengi, Sijaona ulazima wa kuwafanya watoto wadogo wasome utadhani wapo form 6.
Watoto wanabaki mpaka jioni, Shule zinahimiza watoto wabaki boarding, elimu ya msingi ni ya kukamiwa kiasi hicho?
Nakumbuka hapo zamani waliokuwa wanabaki shuleni ni darasa la nne na la saba tena ni kile kipindi mitihani inapokaribia.
Kizazi cha dot com changamoto sana!