The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kama TTCL. Hii nchi mashirika ya umma ni tatizo sana. Yaani swala la kujiongeza ili kuvutia wateja ni kama hakuna kabisa.Kuna wengine wa posta, siku hizi wana huduma za kusafirisha mizigo kwenda mikoani lakini namna ya ku advertise ndio hawajui, mpaka ukiwaambia watu mtaani wasafirishe kwa njia ya posta wasitumie mabasi wanabaki wanakushangaa maana hawajui kama posta pia wanasafirisha mizigo kama mabasi
Ni shida tupu haya mashirikaKama TTCL. Hii nchi mashirika ya umma ni tatizo sana. Yaani swala la kujiongeza ili kuvutia wateja ni kama hakuna kabisa.
Shida ni kwamba hausianishi mshahara wake na huduma anayotoa. Yaani hajui kuwa mizigo ikisafirishwa mingi kupitia kampuni yake ndo anakuwa na uhakika zaidi wa mshahara.Ni shida tupu haya mashirika
Kuna sehemu huwa nachukua mzigo nautuma kwa posta....
Naomba kijuzwa,kutuma mzigo kwa njia ya reli kuna bima inafidia hasara pale mzigo unapopotea au kuharibika pale reli au gari moshi linapopata hitilafu na mzigo kushindwa kufika kwa wakati na kuharibila?
Miaka kama kumi iliyopita nilisafirisha kitanda, godoro na jiko kutoka Moro hadi Mbeya kwa posta na vikafika vizuri ila ni mpaka mtu akuambie. Sijui kwanini hawajitangazi?Ni shida tupu haya mashirika
Kuna sehemu huwa nachukua mzigo nautuma kwa posta....
Shida ni kwamba hausianishi mshahara wake na huduma anayotoa. Yaani hajui kuwa mizigo ikisafirishwa mingi kupitia kampuni yake ndo anakuwa na uhakika zaidi wa mshahara.
Kusema ukweli hata mi leo ndo nimejua kuwa posta wanasafirisha mizigo
Wanatuma mkuu, tena mimi naona ni njia salama kutumia kwao maana mzigo unatunzwa sehemu nzuri kabla haujasafirishwa na ukishafika unawekwa sehemu nzuriShida ni kwamba hausianishi mshahara wake na huduma anayotoa. Yaani hajui kuwa mizigo ikisafirishwa mingi kupitia kampuni yake ndo anakuwa na uhakika zaidi wa mshahara.
Kusema ukweli hata mi leo ndo nimejua kuwa posta wanasafirisha mizigo
Wanasafirisha mkuu, sema tatizo ni hawajui namna ya kujitangaza tu, na nk affordable compare na mabasi na ni safe sana piaHata mimi ndio nimejua leo posta wanasafirisha mizigo. Ahsante ndugu melibam kwa taarifa.
Wana shida ya kujitangaza, ila ni usafiri mzuri sana kutumia posta, mimi ninaupenda sana kwa kweli, tatizo ni watu wa masoko waliowekwa pale ndio hawajui kazi yaoMiaka kama kumi iliyopita nilisafirisha kitanda, godoro na jiko kutoka Moro hadi Mbeya kwa posta na vikafika vizuri ila ni mpaka mtu akuambie. Sijui kwanini hawajitangazi?
Bei ulizosema NI mamlaka tofauti, kutoka mbeya unatumia train ya tazara inamilikiwa na Tanzania na Zambia. Kutoka kigoma unatumia reli ya Kati -TRC. Sasa usilinganishe Bei ya hizo njia.Hapana haiwezi ikawa kweli, labda kama ulusikia vibaya!!mfano kutoka MPANDA(KATAVI) hadi dar mzigo wa tani 40, kwa tren kilo moja ni tsh.55, wakati kwa lori ni kati ys 110-120?!!kawaida usafiri wa treni lazima uwe pungufu kati ya 30-40% kulinganisha na wa gari.
Hata kama ni njia mbili tofauti haiwezi ikawa kwa kiasi hicho anachokisema!!na cjawahi kuona popote duniani usafiri wa treni ukawa juu kuliko wa gari, hasa kwa mizigo hii ya kawaida labda kama ni mzigo unaohitaji uangalizi maalum.Bei ulizosema NI mamlaka tofauti, kutoka mbeya unatumia train ya tazara inamilikiwa na Tanzania na Zambia. Kutoka kigoma unatumia reli ya Kati -TRC. Sasa usilinganishe Bei ya hizo njia.